KARIBU OLELE KWANZA
Pamoja Tunashinda na Kusaidiana.
Kikundi cha OLELE KWANZA kinajihusisha na kusaidiana na kupeana sapoti kwa wanachama wakati wa misiba. Lengo letu kuu ni kuhakikisha kila mwanachama anapata faraja, mshikamano na msaada wa kijamii wakati wa msiba. Kwa pamoja, tunasimama na mwanachama aliyepatwa na msiba ili kumpunguzia mzigo wa huzuni na kumhakikishia kuwa hayuko peke yake katika kipindi hicho kigumu.
Hatua 3 za Kujiunga Rasmi
Kujiunga na Olele Kwanza ni rahisi na inachukua dakika chache tu kukamilisha.
Jaza Fomu Mtandaoni
Ingiza taarifa zako binafsi, makazi yako, chimbuko lako wilayani Rombo, wategemezi wako, na weka saini yako ya kidijitali.
Lipa Ada ya Tsh 2,000/=
Fanya malipo ya ada ya kujiunga kwa M-Pesa kwenda 0763574895 (Jina: GASTOR ONESPHORY TARIMO).
Pata Uthibitisho & Pakua Fomu
Mwenyekiti atathibitisha usajili wako na utaweza kupakua fomu yako ya PDF iliyotiwa saini na muhuri rasmi wakati wowote.