Mwanzo Usajili Mtandaoni Pakua Fomu Yako Uthibitisho wa Admin
Logo

FOMU YA MWANAKIKUNDI

OLELE KWANZA GROUP — PAMOJA TUNASHINDA

Usajili Rasmi
1
Taarifa Binafsi
2
Makazi & Rombo
3
Wategemezi
4
Wadhamini
5
Uthibitisho

1. Taarifa za Mwanakikundi

Jaza majina matatu kwa herufi kubwa na weka picha yako ya pasipoti (Passport size).

🔒 Itatumika kama nenosiri lako la usalama kupakua fomu.
Weka Picha Hapa (Bofya au Vuta Picha)
Picha itafupishwa na kurekebishwa ukubwa kiotomatiki.

1.1 Sehemu Anapoishi Mwanakikundi

Weka taarifa za eneo unaloishi kwa sasa na namba yako ya simu ya mawasiliano.

1.2 Sehemu Anapotokea Mwanakikundi Wilayani Rombo

Chimbuko la kikundi chetu: Tanzania, Mkoa wa Kilimanjaro, Wilaya ya Rombo, Kata ya Olele.

2. Taarifa za Wategemezi

Ongeza wategemezi wako (mke/mume, watoto, wazazi) pamoja na picha ya pasipoti (Passport size) kwa kila mtegemezi.

1. Mtu wa Karibu Atakayechukua Rambirambi

Weka taarifa za mtu/watu wa karibu watakaochukua rambirambi endapo mwanakikundi atafariki (Upeo wa watu 4).

Sogeza jedwali kushoto/kulia (swipe) kuona safu zote
Na. Jina Kamili (Majina Matatu) * Namba ya Simu * Mahusiano *
i.
ii.
iii.
iv.

2. Wadhamini wa Mwanakikundi

Wadhamini wanaothibitisha usajili wako (Upeo wa wadhamini 2).

Sogeza jedwali kushoto/kulia (swipe) kuona safu zote
Na. Jina Kamili * Namba ya Simu * Mahusiano *
i.
ii.

2. Uthibitisho wa Mwanakikundi

Tafadhali saini fomu hii kidijitali na uhakikishe tarehe ni sahihi kabla ya kukamilisha.

“Mimi mtajwa hapo juu, nathibitisha kwamba taarifa zote nilizojaza hapo juu ni za ukweli.”

Tumia kidole au kalamu ya skrini kusaini hapo juu.
Logo

FOMU YA MWANAKIKUNDI

OLELE KWANZA GROUP — PAMOJA TUNASHINDA

1 TAARIFA ZA MWANAKIKUNDI

(Maelezo: Jaza majina matatu kwa herufi kubwa, hakikisha umejaza taarifa zote kwa usahihi)

Na. Aina ya taarifa Jina la Kwanza Jina la Pili Jina la tatu
i. Jina la Mwanakikundi
ii. Jinsia (Weka Vema): Mwanaume: [ ]      Mwanamke: [ ]
iii. Umri:
Weka picha yako hapa
(Passport size)

1.1 SEHEMU ANAPOISHI MWANAKIKUNDI

i. Mkoa unaoishi :
ii. Wilaya unayoishi :
iii. Kata unayoishi :
iv. Namba ya Simu :

1.2 SEHEMU ANAPOTOKEA MWANAKIKUNDI WILAYANI ROMBO

i. Kata unayotokea :
ii. Kijiji unachotokea :

2 TAARIFA ZA WATEGEMEZI

Jina (Majina matatu) Mahusiano Umri Namba ya simu Picha

1 TAARIFA ZA MTU WA KARIBU NA WADHAMINI

1. MTU WA KARIBU ATAKAYECHUKUA RAMBIRAMBI ENDAPO MWANAKIKUNDI ATAFARIKI
Na. Jina Namba ya Simu Mahusiano
i.
ii.
iii.
iv.
2. WADHAMINI
Na. Jina Namba ya Simu Mahusiano
i.
ii.

2 UTHIBITISHO WA MWANAKIKUNDI

Mimi mtajwa hapo juu, nathibitisha kwamba taarifa zote nilizojaza hapo juu ni za ukweli.

Saini ya Mwanakikundi :
...................................................
Tarehe :
Saini ya K.N.Y Mwenyekiti :
Saini ya Mwenyekiti
Tarehe :