Mwanzo Usajili Mtandaoni Pakua Fomu Yako Uthibitisho wa Admin
Olele Kwanza Official Logo
✨ KIKUNDI RASMI CHA OLELE KWANZA | KATA YA OLELE, WILAYA YA ROMBO, KILIMANJARO

KARIBU OLELE KWANZA
Pamoja Tunashinda na Kusaidiana.

Kikundi cha OLELE KWANZA kinajihusisha na kusaidiana na kupeana sapoti kwa wanachama wakati wa misiba. Lengo letu kuu ni kuhakikisha kila mwanachama anapata faraja, mshikamano na msaada wa kijamii wakati wa msiba. Kwa pamoja, tunasimama na mwanachama aliyepatwa na msiba ili kumpunguzia mzigo wa huzuni na kumhakikishia kuwa hayuko peke yake katika kipindi hicho kigumu.

—
Wanachama Waliosajiliwa
Tsh 2,000/=
Ada Nafuu ya Kujiunga
100%
Msaada wa Misiba & Furaha
Rombo & Nchi Nzima
Mtandao Mpana wa Wanachama

Hatua 3 za Kujiunga Rasmi

Kujiunga na Olele Kwanza ni rahisi na inachukua dakika chache tu kukamilisha.

1

Jaza Fomu Mtandaoni

Ingiza taarifa zako binafsi, makazi yako, chimbuko lako wilayani Rombo, wategemezi wako, na weka saini yako ya kidijitali.

2

Lipa Ada ya Tsh 2,000/=

Fanya malipo ya ada ya kujiunga kwa M-Pesa kwenda 0763574895 (Jina: GASTOR ONESPHORY TARIMO).

3

Pata Uthibitisho & Pakua Fomu

Mwenyekiti atathibitisha usajili wako na utaweza kupakua fomu yako ya PDF iliyotiwa saini na muhuri rasmi wakati wowote.